Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki.

Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na hazijafufuka/hazitafufuka.

HESLB liangalie upya hili la kigezo hicho.
 
Mzee wa kusoma unataka kuomba mkopo mini mwaka huu..?
 
Mzee wa kusoma unataka kuomba mkopo mini mwaka huu..?
 
Kabisa wapo wengine yatima ama wametokea familia maaikini na ikatokea walisomeshwa kwa ufadhili wa watu binafsi au kanisa na misikiti...bodi haiangalii hivo...inachinja tu na kuwanyima mikopo vijana wa kitanzania kwa ushamba wa kudhani wao ni matajiri.

Tena wanashindwa kujua tajiri wa 2015..miaka hii anaishi kama shetani..kachalala..sasa akuhumiwe kisa miaka ile alikuwa nazo! Wajitafakari!
 
Cha kwanza board wanachoangalia ni uhitaji.

Haiwezekani mtu asome shule analipa ada milioni 5 kwa mwaka halafu aje kuomba mkopo.

Lakini pia board hua wanatoa mikopo hata kwa waliosoma private iwapo tu mtu ataonyesha ana uhitaji.

Vinginevyo mikopo ni kwa watu wanaohitaji msaada kweli.
 
Kwani mkopo ni zawadi? Mi nadhani kila anayestahili mkopo apate mkopo isiangaliwe mtoto kasoma private au Shule za Serikali.
 
Mkopo ni haki ya kila mtanzania awe na uwezo hana uwezo ni haki yake kwasababu fadha za mkopo zinatokana na kozi za watanzania wote, kodi inakusanywa bila kubagua kwanini ubague wakati wa kuwakopesha watu? Tena kwenye nchi yao?
 
Kwani mkopo ni zawadi? Mi nadhani kila anayestahili mkopo apate mkopo isiangaliwe mtoto kasoma private au Shule za Serikali.
unjua ukiwa nchi za kidikiteita kama zetu, yachulie kidikiteita. You are bsolutely right, kila mmoja apate mkopo maana siyo zawadi, ni kuwa utaulipa kwa jasho. Lakini nchi zetu za kishenzi ziko hivyo... mtu unabembeleza mkopo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…