chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kuna jambo tumelisahau kuhusu ajali nyingi za mabasi ni kipi.
Tukisema ulevi, uzembe au barabara si kigezo sana ila la miruzi na kushangiliwa kuwapa sifa wanapoingia stendi au kutoka na zinopokuwa njiani.
Dereva wa basi upenda sifa kwa kushangiliwa na waliokuwa nje ya barabara au wakisikia walivopita magari.
Tusipolikemea ili bado swala la ajali litabaki pale pale.