chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Feb 25, 2023 #1 Kuna jambo tumelisahau kuhusu ajali nyingi za mabasi ni kipi. Tukisema ulevi, uzembe au barabara si kigezo sana ila la miruzi na kushangiliwa kuwapa sifa wanapoingia stendi au kutoka na zinopokuwa njiani. Dereva wa basi upenda sifa kwa kushangiliwa na waliokuwa nje ya barabara au wakisikia walivopita magari. Tusipolikemea ili bado swala la ajali litabaki pale pale.
Kuna jambo tumelisahau kuhusu ajali nyingi za mabasi ni kipi. Tukisema ulevi, uzembe au barabara si kigezo sana ila la miruzi na kushangiliwa kuwapa sifa wanapoingia stendi au kutoka na zinopokuwa njiani. Dereva wa basi upenda sifa kwa kushangiliwa na waliokuwa nje ya barabara au wakisikia walivopita magari. Tusipolikemea ili bado swala la ajali litabaki pale pale.
nkanziga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 694 Reaction score 1,104 Feb 25, 2023 #2 Lakini picha ulizoweka na topic yako ni irrelevant.... Based on what caused those accidents.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Feb 25, 2023 Thread starter #3 nkanziga said: Lakini picha ulizoweka na topic yako ni irrelevant.... Based on what caused those accidents. Click to expand... Kama utakuwa na kumbukumbu ya ajali hii utakuwa umeelewa mada nayo sema. Kosta 2 zilibeba wana jumuiya wa kanisa .ni mambo ya kushangiliana
nkanziga said: Lakini picha ulizoweka na topic yako ni irrelevant.... Based on what caused those accidents. Click to expand... Kama utakuwa na kumbukumbu ya ajali hii utakuwa umeelewa mada nayo sema. Kosta 2 zilibeba wana jumuiya wa kanisa .ni mambo ya kushangiliana