Sifa za kuteuliwa kikatiba za Mwenyekiti wa parole

Sifa za kuteuliwa kikatiba za Mwenyekiti wa parole

Euphransia

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
937
Reaction score
778
Wanasheria wetu naomba kujua kikatiba Mwenyekiti wa Parole anatakiwa awe Na sifa zipi ili aweze kuteuliwa?
 
Mrema nae ataogopa kuongea na media mnaanza kumchokonoa.
 
Mkuu sio kila MTU ana katiba kama huwezi kuchangia kaa kando wacha wachangiaji wenye busara wachangie
 
Mtihani mkubwa wa Raisi kwa Mrema... Maana mchezaji yupo Injury na sijawahi msikia msaidizi wake...
 
Back
Top Bottom