Sifa za magwiji wa soccer

Sifa za magwiji wa soccer

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
1.pele-mfungaji bora wa muda wote duniani
2.maradona-mchezaji bora wa zama zilizopita
3. c.ronaldo-mfungaji bora wa zama hizi na mchezaj mwenye mafanikio zaidi
4. messi-mchezaji bora wa muda wote dunia
5.ronaldinho- magician wa soka mda wote dunian

nb:ni mtizamo huru na si sheria, pia povu na kukosoa ruksa
 
Ronaldo mwenye mafanikio zaidi?[emoji50][emoji50][emoji50]????
 
1.pele-mfungaji bora wa muda wote duniani
2.maradona-mchezaji bora wa zama zilizopita
3. c.ronaldo-mfungaji bora wa zama hizi na mchezaj mwenye mafanikio zaidi
4. messi-mchezaji bora wa muda wote dunia
5.ronaldinho- magician wa soka mda wote dunian

nb:ni mtizamo huru na si sheria, pia povu na kukosoa ruksa
Vp kuhusu Ronaldo de lima
 
Ao wote ni wanasoka mahili kuwai kutokea ila Gaucho alikua si tu mchezaji wa soka ila alikua anafanya Sanaa ya soka amevuka lile daraja la wachezaji mahir yeye yuko pekeyake juu mawinguni.
Ni Mungu pekee anayejua lini atashusha kiumbe kingine kama Gaucho, Nibahati kwa kizazi kilicho mshudia akifanya sanaayake ya soka apa duniani.
 
Back
Top Bottom