Vp kuhusu Ronaldo de lima1.pele-mfungaji bora wa muda wote duniani
2.maradona-mchezaji bora wa zama zilizopita
3. c.ronaldo-mfungaji bora wa zama hizi na mchezaj mwenye mafanikio zaidi
4. messi-mchezaji bora wa muda wote dunia
5.ronaldinho- magician wa soka mda wote dunian
nb:ni mtizamo huru na si sheria, pia povu na kukosoa ruksa
hamjui,kaanza kuangalia mpira 2011Vp kuhusu Ronaldo de lima
hamjui,kaanza kuangalia mpira 2011