Sifa za Mashangazi Original

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Awe na umri kuanzia 40+ na awe na kwake (private),
2. Awe mfanyabiashara mwenye bar, Mama lishe, saloon au boutique.
3. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
4. Awe na minyama (tumbo, wezere na nyama za mikono).
5. Awe single Mother (Mama Junior).
6. Awe mlevi wa pombe Kali,

NB: epuka mashangazi ya Kariakoo, Ilala, Buza, Tandika, Mbagala, Magomeni na Kinondoni hayo Ni ya mchongo, full mizinga! Shangazi gani anashindia dera na ndala miguu imepauka
Your browser is not able to display this video.
 
1. Awe na kwake (private),
2. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
3. Awe na wezere,
4. Awe single Mother,
Mimi ninani hata nikubishie.

Shangazi gan anataka umlipie Kodi, umvishe, Kula juu yako ?Kupendeza juu yako?.


Huyo sio Shangazi bhanaa, huyo ni chuma ulete tu aliyekua kiumri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…