sifa za mchumba ninayemtaka

mkuki moyoni

Senior Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
116
Reaction score
5
1. mrefu hata kama sio sana ila awe mrefu
2. rangi yoyote

3. mwili wa kati sio bonge wala mwembamba sana
4. awe mca mungu awe mwenye ibada ( mkiristo)

5. elimu kuanzia 4m 4
6. awe wa kanda ya ziwa au magharibi
7. upeo mzuri wa mambo mengi ya kijamii hata siasa
8. moyo wa upendo kwa wazazi jamani
9. bidii ya ubunifu na kujituma
10. heshima kwa watu/asiwe na majivuno hata kama yuko clasic
mengine yatarekebika tu
 
Kwahiyo unataka mtu ajitokeze au unatujulisha tu vigezo vyako?!
 
Nadhani vyote ninavyo. Kasoro ni moja tu, natokea Kaskazini. Na tena nina nyongeza hii hapa....Unasema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…