Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mwanamke hawezi kuonyesha upole, huruma, kujali, kunyenyekea, uvumilivu kwa mwanaume endapo mwanaume atakuwa siyo MUADILIFU.
Hivi sasa kuna ongezeko la wanawake ambao wamejiandaa kupambana na wanaume ndani ya familia kwa maana dawa ya moto ni moto.
Ni vigumu sana kwa Mwanamke ambaye anaamini wanaume wote ni "mbwa" kujishusha,kutii maagizo, kuheshimu mamlaka ya mwanaume ndani ya nyumba.
Haijalishi mwanaume atakuwa anajali sana, mwaminifu, mwema sana, anaheshimu sana Mwanamke ndani ya nyumba ilimradi tu Mwanamke anaamini wanaume wote ulimwenguni ni "mbwa" hawezi kukubali kuonyesha utii.
Ni vizuri kwa mwanaume kuangalia lugha ya Mwanamke anazungumza kuhusu wanaume ,ikiwa hana lugha nzuri ni wazi kwamba atakuwa amejiandaa kupambana na mwanaume badala ya kushirikiana naye
Soma ujumbe mpaka mwisho kujua Mwanamke gani wa kumuepuka maishani mwako ikiwa wewe ni mwanaume, badala ya kutaka kumbadilisha tabia muepuke Mwanamke endapo ataonyesha tabia zifuatazo hapa chini ilimradi tu wewe ni mwanaume muadilifu, mwaminifu, mwema, mwenye kujiheshimu, haupendi ugomvi wala migogoro.
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watoto ambao wanakuwa bila wazazi wote wawili kuwa pamoja. Kwa maana idadi ya watoto ambao wanaozaliwa na kulelewa na mzazi mmoja inazidi kuongezeka kila kukicha.
Chanzo ni nini? Ukiangalia katika jamii idadi ya SINGLE MOTHER inazidi kuongezeka kila kukicha na vilevile idadi ya wanaume wenye sifa za uongozi ndani ya familia zinatoweka.
Kwanini wanaume wenye nia njema ya kujenga familia huwa wanapata wanawake ambao hawaeleweki tabia zao, vilevile wanawake ambao wanania ya kujenga familia wanaparamia wanaume wa ajabu ajabu.
Yote utapata ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI kwa leo tuangalie sehemu ndogo .
MWANAMKE ANAPOTAKA KUWA KICHWA NDANI YA FAMILIA HUSABABISHA MIGOGORO YA KIMAPENZI
Migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia inaweza kuibuka pale ambapo Mwanamke anapotaka kuitawala nyumba kimabavu kwa maana anakuwa anataka kila mtu ndani ya familia pamoja na kila kitu ndani ya familia kiwe chini yake.
Hali hii husababishwa na Mwanamke kuonyesha tabia ya ubabe, ukali kupitiliza, kiburi, majivuno, jeuri na dharau, vilevile anakuwa na hasira kupitiliza, anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), anakuwa mgumu sana kukiri makosa lakini anakuwa mkali kupitiliza pale ambapo anakuwa anakosoa makosa ya mchumba/mume wake.
Mara kwa mara anakuwa anampangia mume/mchumba wake sheria ngumu sana,anakuwa na masharti magumu sana matokeo yake mara kwa mara kunaibuka migogoro, malumbano, mabishano, majibizano, kupeana kashfa na tuhuma za usaliti, kutishiana kuachana, kutukanana, kujibizana, kufokeana, kutoana dosari za muonekano, vilevile atamnyima unyumba mwanaume wake kwa makusudi kabisa, anaweza kutoroka kwenda nyumbani kwao mara kwa mara kisha anageuza kibao kwa mwanaume wake kwa kuzusha uongo.
Kwanini Mwanamke ambaye anataka kuwa kichwa cha familia hafai kuwa mke/mama wa watoto ni kwa sababu ya tabia zifuatazo
SIFA 8 ZA MWANAMKE AMBAYE ANATAKA KUWA KICHWA NDANI YA FAMILIA
Sifa hizo 8 ni kama ifuatavyo
1.HANA HESHIMA KWA MUME/MCHUMBA WAKE
Anaweza kumsogelea mwenza wake kwa kuonyesha ubabe, udikteta, udhalilishaji, dharau, majivuno, kiburi na jeuri anaweza kumfokea, kumtukana kumkashifu, kumkaripia, kumgombeza mwenza wake hadharani hali hiyo inaweza kutokea kwenye mitandao ya kijamii,iwe kazini kwenye vikao,iwe mbele ya wanafamilia wa mwanaume au mwanamke,iwe mbele ya marafiki wa mwanaume au mwanamke.
Kwanini anakuwa hivyo? Anafanya haya kwa sababu anajiona ni mzuri sana,anajiona yupo na akili sana, anajiamini sana kisha anamuona mwanaume wake ni takataka,anamuona mume/mchumba wake ni mshamba mshamba tu ambaye hana HADHI ya kuwa naye.,akiona mwanaume anaongea atamkatiza kauli haraka.
2.ANAKUWA NA MALALAMIKO MENGI SANA KULIKO SHUKURANI
Mara kwa mara atakuwa na manung'uniko, malalamiko,natakuwa na gubu, atakuwa na kisirani atakuwa anamkosoa mwanaume wake mara kwa mara atakosoa lafudhi, utembeaji, usafi, muonekano, uwezo wa kiakili,atakosoa kabila la mwanaume, atakosoa kipato cha mwanaume, atakosoa vipaumbele vya mwanaume mara kwa mara kisha atakuwa anamlinganisha mwanaume wake na wenza wake wa zamani (Ex wake) kwa kumuonyesha mume/mchumba wake kwamba hana hadhi ya kuwa naye.
3.ANAMPA VITISHO MUME/MCHUMBA WAKE
Mara kwa mara anatishia kumuacha mwenza wake kisha aende kwa wanaume wengine ambao anadai wapo na hali nzuri sana ya kiuchumi kuliko mwenza wake.Atasema "Nipe kiasi XYZ cha fedha kama unataka tuwe pamoja na kama hauna fedha basi tuachane",atasema "chagua mimi au mama yako mzazi" ,anakuwa na wivu wa mapenzi uliopindukia mara kwa mara anachukua simu ya mwanaume wake na kuanza kupekua kuangalia sms za fumanizi.
4.MARA KWA MARA ANATAKA KUSIFIWA TU
Mara kwa mara anakuwa hana shukurani, haijalishi atapewa fedha nyingi sana kiasi gani,ale chakula cha gharama kubwa kiasi gani,apewe gari ya kutembelea ya gharama kubwa sana,atolewe "Out" mara kwa mara lakini anakuwa hana huruma wala shukurani kwa mume/mchumba wake.
Mara kwa mara anampangia mume/mchumba wake nini cha kufanya -Atampa maagizo mwanaume wake kuhusu namna ya kuendesha maisha yake.
Anakuwa "boss lady" kwa maana anaishi kwa kutoa maagizo kwa mume /mchumba.
Anakuwa mjuaji sana, haambiliki, hashauriki, anakuwa mkali kupitiliza akiambiwa makosa yake,anakuwa mgumu sana kuomba msamaha hata kama amefanya makosa makubwa sana.
Mara kwa mara anataka kuombwa msamaha tu kwa kifupi anataka kusujudiwa,anataka mwanaume asiekuwa na kauli wala mamlaka yoyote ndani ya familia.
5.ANAKUWA NA MATUMIZI MABOVU SANA YA FEDHA
Mwanamke ambaye anataka kuwa kichwa cha familia huwa anakuwa na matumizi mabovu sana ya fedha , anaweza kutumia fedha nyingi sana kufanya starehe, kubadilisha simu mara kwa mara,kununua nguo mpya mara kwa mara,anataka atembelee gari la kifahari,anataka zawadi za mara kwa mara tena za gharama kubwa sana kuliko mtu yeyote,anataka kutolewa "Out" mara kwa mara tena sehemu za kifahari bila kujali hali ya kiuchumi ya mume/mchumba wake.
6.ANAKUWA KAMA MPELELEZI
Mara kwa anataka mwanaume ajieleze kama vile yupo kituo cha polisi anafanyiwa mahojiano. Atahojiwa alikuwa wapi,atahojiwa alikuwa anafanya nini, atahojiwa kuhusu matumizi ya fedha, atahojiwa kuhusu marafiki, atahojiwa kuhusu uvaaji kwa kifupi mume/mchumba anageuzwa kama mtoto mdogo kisha Mwanamke anakuwa kama mama mzazi wa mwanaume.
7.ANAIBUA UGOMVI MARA KWA MARA BILA SABABU
Mara kwa mara anakuwa anatafuta kisingizio cha kuibua ugomvi, atapishana kauli na mume /mchumba kuhusu uvaaji, chakula, muda wa kulala, mabishano, majibizano, kupeana kashfa na tuhuma za usaliti, kutishiana kuachana, kutukanana, kudharauliana, kushutumiana mara kwa mara yanakuwa maisha yake ya kila siku.
Wengi wanapenda ugomvi kuliko amani. Ataibua mijadala bila sababu zozote lengo kuu uibuke ugomvi. Atakuwa na kisirani, atasusa, haongei mwezi mzima hata kama makosa amefanya yeye mwenyewe anataka aombwe msamaha, atamnyima unyumba mwanaume wake kwa makusudi kabisa mara kwa mara.
Huwa hakubali makosa, hakubali kushindwa,hakubali madhaifu yake, anataka kuwa juu muda wote, anataka kuwa na kauli ya mwisho siku zote,
Mara kwa mara atamwambia mume /mchumba wake "Upo na bahati mimi kuwa na wewe,endapo nikikuacha haupati mtu kama mimi"
8.ANAKUWA ANAJISIFIA SANA
Mara kwa mara anakuwa anakuwa anajisifia kuhusu muonekano wake, lafudhi yake, hali yake ya kiuchumi, atajisifia kuhusu wingi wa marafiki zake, atajisifia kuhusu ubora wa ukoo wao.
Mara kwa mara anampa masharti magumu sana mwenza wake, anaweza kumwambia mwanaume wake vaa vizuri, acha kuongea ongea ukiwa mbele ya marafiki zangu, usikae karibu yangu sitaki Watu wajue kama tupo pamoja, atamuaibisha, atamdhalilisha mwenza wake.
9.ANAKUWA NA HASIRA KUPITILIZA
Hasira zake zinakuwa za karibu.
Mwanaume atajikuta anaogopa kumkasirisha, Mwanamke akiwa na hasira ataongea maneno makali sana dhidi ya mwenza wake.Ugomvi itaibuka kitandani mara kwa mara, vilevile ugomvi utaibuka baada ya kukutana kimwili na mwenza wake.