Sifa za mwanamke mwembamba

Mbuna Senior

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
55
Reaction score
125
Nataka kujua sifa za mwanamke mrefu na mwembamba maana nawapenda sana wawapo sita kwa sita na pia sio wavivu wanajituma sana kama mwenye sifa za ziada tuchangie kidogo.
 
ngono, zinaa, uasherati.....vimetawala dunia.... hizi ndude K.....zinatuharibia vijana wetu,,,, Mola tusaidie...
Ok, mbuye zote ni tamu, ni wewe kujua namna ya kuzila,,, awe bonge au fido dido,,,, mrefu au mfupi....
 
Sasa wewe unaewapenda badala utuambie unatuuliza sisi tena......
 
ngono, zinaa, uasherati.....vimetawala dunia.... hizi ndude K.....zinatuharibia vijana wetu,,,, Mola tusaidie...
Ok, mbuye zote ni tamu, ni wewe kujua namna ya kuzila,,, awe bonge au fido dido,,,, mrefu au mfupi....
umenifurahisha kweli Mkuu, bambie jamen hawa vijana hawana lingine wanalowazia.
 
Serikali ya viwanda, vijana wenyewe ndio wa dizaini hii
 
ngono, zinaa, uasherati.....vimetawala dunia.... hizi ndude K.....zinatuharibia vijana wetu,,,, Mola tusaidie...
Ok, mbuye zote ni tamu, ni wewe kujua namna ya kuzila,,, awe bonge au fido dido,,,, mrefu au mfupi....
Yeye ndo aliopotea jukwa au wewe. Hili sio jukwa la jamii intelligent. Tunapunguzia hapa stress za kazi. You know work and no play Make................ Give vijana a break
 
We mleta uzi ni msengerema kweli,post gani hii?useme mwenyewe wazuri kitandani then utuambie tukupe sifa we ni k kweli.
 
Tanzania ya viwanda tutaisikia kwa wenzenu tu km mda wote tunawaza uasherati.
 
Humu ndani kuna watu wanajifanya sana kama watakatifu kama hapakufai huku MMU kuna majukwaa mengine ambayo ya viwanda, ajira na tenda, siasa na nk acheni uzandiki mimi kama kijana napenda na wewe unapenda ndo maana unapita na huku kama hupendi usichungulie kabisa. Pakikushinda ukalale sio kuleta shombo mara sijui ngono ata wewe unapenda nyapu upendi usipite huku wala kukodoa
 
Mnawaza ngono tuuuuuu.... Duuh,!
 
Yeye ndo aliopotea jukwa au wewe. Hili sio jukwa la jamii intelligent. Tunapunguzia hapa stress za kazi. You know work and no play Make................ Give vijana a break
wapi nimesema kapotea??,,,ingekuwa kapotea ningecoment??,,,,soma comment kwa uelewa bibie..then reply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…