Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #241
Hahaha uspanic...LOL
Maanake kwa sasa haitaji mtu yeyote. Mbona inaeleweka?
alikuwa anakutest,alijua ngeli haipandi akashangaa umempa ngeli ya wanugu (niggas) lazima apanik
Hahahaha Ataumia, maji marefu haya. Hua sipendi shari unless mtu anikwaze....ka apologise nd im cool. I dnt take small things personal. Lol
nakubaliana na wewe yaani anaonesha ni madongo kwa bro msingi kiuno .Kwa maana hiyo Gadner alikuwa ndio mwenye tabia hizo za juu.
ata hiyo picha yako umekaa kama black america naona akuwa ameangalia vizuri