SIFA ZA TIMU YA SIMBA MWAKA HUU TUTASIKIA MENGI

SIFA ZA TIMU YA SIMBA MWAKA HUU TUTASIKIA MENGI

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Ni jana naangalia kipindi cha michezo EATV ukaoneshwa mkutano wa simba,yaani ooh mara hii simba tishio Afrika na duniani,ooh ni iko sawa na mancity sijui,oohh itachukua makombe yote yaani la ligi kuu,la ubingwa africa,na la mabara .mmh ngoja tuone tupo hapa na tunawatakia kila la heri .ingawa nijuavyo wakianza kuwa na mechi za CAF kisha na Ligi kuu hapo tutaona kipimo chao
 
Wacha uzushi. Hakuna mtu anayetaraji kuwa Man City.
Kinachozungumzwa ni kuwa na uwezo wa kushindana na hatimaye kushinda kombe la mabingwa wa Afrika.
Kukiwepo na mipango thabiti na pesa za kusajili wachezaji wazuri inawezekana.
Hayo mengine ni povu la chura.
 
simba hii ya sasa ni motooo wa kuotea mbali sana
Moto kikosi kipana
tapatalk_1545902038652.jpeg
 
Back
Top Bottom