Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
ndio alivyokuambia Baba yako mdogo eeh?
Nan atoke na kitanda matai sumbawanga mpaka msoma kagera mwanza jipange na post yako
Haya kaka, mie sina hata hiyo sufuria, na unasema hana kitanda anatandika chini, ni kitu gani anatandika?
By the way kila mtu huwa anakuwa frastrulated na new environment akisha zoea inakuwaga poa sana.
UTOTO UMEZIDI SANA HUMU MODS WALIANGALIE Hili
naona umevurugwa wewe! Hata machinga mwenyewe huwa anaanza na bango la kuazima. nani kakuambia unapoanza kazi unafungasha kila kitu? ama kwa vile wewe ni mtoto wa mama? simulia sana omba yasikukuteZifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
kama kuna kaukweli vilee
naona umevurugwa wewe! Hata machinga mwenyewe huwa anaanza na bango la kuazima. Nani kakuambia unapoanza kazi unafungasha kila kitu? Ama kwa vile wewe ni mtoto wa mama? Simulia sana omba yasikukute
Sasa, ulitaka waanzeje hayo maisha labda? Au unadhan kuwa na standard life ni overnite process au???Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN