Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzwazwa wewe, inamaana hata Ever naye alibadilishwa pale bustanini Eden [emoji848][emoji19]Wakuu habari,
Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,
Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?
Ujumbe
"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)
NimekupataWasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo
Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani
Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni
Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa
Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali
Ukiweza kukutana nae vipi?Aise kuna mdigo mmoja mrembo wa jf tuligegeduana....hatari mrembo huyo anajua jamani kuchezea delibolo balaaa. Mpaka kesho sijapata wakumzidi
Umekaa mwakidila,mwahako nini ? [emoji1787]Wasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo
Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani
Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni
Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa
Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali
Niliomba tuonane...then ndio hivyo tenaUkiweza kukutana nae vipi?
britaniccaNiliomba tuonane...then ndio hivyo tena
Ebu kwanza nambie wanapatikana maeneo yapi?Umekaa mwakidila,mwahako nini ? [emoji1787]
Umepita mulemule
Plus kukujazia ndugu kwako
Tatizo lipo hapa tu Mungu hakupi vyote.Kwenye utafutaji wanawake wa kisambaa ni wazuri mno na anapenda kujishughulisha tofauti na wa kidigo wengi ni wavivu ila kitandani na mapishi wadigo hatari ukioa mdogo jipange sana kwa namna yoyote lazima ule na wenzio
Kama unataka mtafutaji oa msambaa
Kaz ya nyoka aka ibilis ilikua ni ipi pale bustanin?Acha uzwazwa wewe, inamaana hata Ever naye alibadilishwa pale bustanini Eden [emoji848][emoji19]