sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Wakuu habari,

Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,

Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?

Ujumbe

"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)

Mshana Jr
 
Acha uzwazwa wewe, inamaana hata Ever naye alibadilishwa pale bustanini Eden [emoji848][emoji19]
 
Kwenye utafutaji wanawake wa kisambaa ni wazuri mno na anapenda kujishughulisha tofauti na wa kidigo wengi ni wavivu ila kitandani na mapishi wadigo hatari ukioa mdigo jipange sana kwa namna yoyote lazima ule na wenzio
Kama unataka mtafutaji oa msambaa
 
Wasambaa ni wapambanaji zaisi unavyojua wachapa KAZI Wana malezi Bora Kwa watoto ,wanapenda sana ndugu haswa watu wa kabila lao Wana soko Sana la kuolewa kwao Wanachakarika Sana kutafuta pesa.
Wengi waliooa wasambaa Wana mafanikio maana wasichana wa kisambaa na wasambaa Wana nyota ya biashara ndogo ndogo

Tatizo Leo sio wajanja mweny mapenzi kuwazidi wadigo mfano mapishi ,kitandani

Wadigo ni wanawake weny upendo na huba nzuri ,mdigo anataja biashara za kistaa tu hata kama hailipi mfano kuuza nguo za kike sijuo Madera ,vipochi ila upeleke sijui sokoni humpati ,wanapenda kujifaharisha sana mfano kweny harusi kuvaa kupendeza na kupika mavyakula ya gharama hata kama anaishi nyumba ya udongo harusi atafanya ya gharama na mlolongo mrefu kuna ndundu party, kitchen party sometime harusi inakaa siku Saba ila maendeleo hakuna makazi duni

Ukitaka kumfaidi mdigo uwe na pesa basi hapo hata uoe wake sita hatokusema mtimizie Kila kitu .kuwe makini hawa ni hatari kwa wageni ambao sio jamii yao kupigwa limbwata ukasahau kwenu dk sifuri ukiwa na uwezo wa kipesa

Wadigo wanavutia ukiongea nao hautotamani kumaliza tulienda na jamaa huko udigoni alikuwa anaongea na mmoja ikapita kama lisaa ivi wanaongea tulikuwa tumepozi tunaelekea kenya nikamuuliza umemtaka au akasema napenda tu lafudhi yao ndo maana natamani kuongea nae na kumuuliza maswali
 
Nimekupata
 
Aise kuna mdigo mmoja mrembo wa jf tuligegeduana....hatari mrembo huyo anajua jamani kuchezea delibolo balaaa. Mpaka kesho sijapata wakumzidi
Ukiweza kukutana nae vipi?
 
Umekaa mwakidila,mwahako nini ? [emoji1787]


Umepita mulemule


Plus kukujazia ndugu kwako
 
Watoto wa kisambaa weupe wazuri sana hasa wa lushoto na wana bahati sana kwa wanaume . unashangaa mishe zinafunguka ni wavumilivu hata umlishe tembele kila siku wana dini na huruma na wanabidii kutafuta

Ndio maana unakuta mume hana kazi anashinda kijiweni kucheza draft mke anachakarisha na biashara sokoni ndio anamlisha pamoja na watoto na wako faithful sana



Mdigo ni mzigo wanawezana wao kwa wao

Wana Uswahili sana nadhani tanga mjini ni ya kwao

Kwa ufundi sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…