Sifa za wanawake wa kichaga

SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌

Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁


Sibishi ila wewe utakuwa sio Mchagga bali Bwashee wa Kishimundu.
 
Sijaelewa unamaanisha nini kwenye "kila kitu" ulichoimba sijui
 
Ukarimu gani wakati wengi wao ni wachoyo na hawapendi ndugu wa mume .

Hao wengi wao siyo tu hawapendi ndugu wa mume lakini hata wazazi wa mume hawawapendi [emoji108][emoji108]
 
Hawako romantic, penda sana pesa na HAWAJUI mapenzi. Kitandani ni magogo
 
Kuna wanawake ni makauzu hatari!

Yani unamchukia Mama na baba aliyemzaa mume wako?! [emoji848][emoji848][emoji848]

Kazi kulalamika tu mwanamke kwanini unafanya hivyo.?!

Halafu Mwanaume hustuki [emoji848]

Wazazi wengi wana mafundo mioyoni mwao.

Wengi hawataki kusema ya moyoni ili kuepuka kuvunja nyumba za watoto wao wa kiume lakini kiukweli wazazi wana mafundo mioyoni mwao !

Inafika mahala mzazi ukiwa na watoto wakiume inakuwa ni mtihani sababu ya aina ya wanawake wanaoishi nao!
 
Eti wengine wanajidai wakisasa zaidi siku hizi Wakija wageni ndugu wa mume wanaenda kutafutiwa loji nyumba ya wageni ya karibu kwenda kulala huko wakati nyumba ipo na nafasi na vyumba vya kutosha[emoji108][emoji108][emoji108]

Kisha baada ya siku 2 -3 wanaenda Katiwa tickets waondoke bila ridhaa yao!

Tabia ya choyo mbaya sana!
 
Sasa kuna jamaa fulani kaoa mkewe amechanganya makabila baba mchaga Mama mnyakyusa basi weeeee nanga zinapaa nakwambia [emoji108][emoji108]

Ndugu wa mume hawana hamu naye!

Kuna siku mama wa mume alikuja bila taarifa weeee ilikuwa ishu kwanini aje bila taaarifa?!

Watoto wa mashemeji ndiyo anataka kupigana nao ngumi waondoke!
 
Imeshawahi kukutokea mkuu? Kwann ukagande kwa Kaka? Tafuta Mali zako ulitaka ukakae mwaka mzima? For what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…