Chrispin ndauka
Member
- Jul 13, 2013
- 14
- 1
Kwa wale wanao chukua BED.kwa walio hitimu(Advance and diploma)help me pz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwenye web ya tcu nenda kwenye sehemu imeandikwa students guide book utapata sifa ya kila chuo ila tu kwa kifupi inatakiwa uwe na principal mbili (2) yaani kuanzia E na kuendelea pamoja (s) hivyo ufikishe 2.5 cut off points.