Chrispin ndauka
Member
- Jul 13, 2013
- 14
- 1
Ingia kwenye web ya tcu nenda kwenye sehemu imeandikwa students guide book utapata sifa ya kila chuo ila tu kwa kifupi inatakiwa uwe na principal mbili (2) yaani kuanzia E na kuendelea pamoja (s) hivyo ufikishe 2.5 cut off points.