Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa habari ndugu Nape Nnauye Dhidi ya Dkt. Bashiru sifurahishwi kamwe.
Ebu ona hii PANZI jamani inafanana na Dr Bashiru au Mh Balozi Polepole
Huyu aliyetembea kwa magoti zaidi ya kilometa moja kwenda kumwomba msamaha Magu, leo anajitoa fahamu kwa sifa za kijinga namna hii!? Magu angekuwa na roho ya kejeli si angeishia kumpuuza, kweli dunia duara........
Afadhali Bashiru aliongea mchana kweupe lakini yeye nape alipiga GIZANI, JPM akamshughulikia leo anapiga kelele. Anyway wote washenzi tu acha waumane. Hii mvua iendelee kunyesha.