Sigara (tcc) wabwagwa tena mahakama kuu kitengo cha kazi

Sigara (tcc) wabwagwa tena mahakama kuu kitengo cha kazi

mukama talemwa

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
160
Reaction score
29
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na kuahakikisha anafukuza wafanyakazi woote watawi la Shinyanga ambao walikuwa siyo rafiki wake,alifukuza wafanyakazi saba wakiwemo viongozi wote wa tawi nawoote waliokuwa wanahusika na mauzo ila akahakikisha aliyekuwa cashier ambaye watoka mkoa mmoja anabaki kazini.Tawi la Mwanza akafukuza wafanyakazi watatu na matawi mengine akahakikisha ambao hawataki wanafukuzwa kazi.
Wote waliofukuzwa kazi walifungua kesi CMA na wote walishinda maana wote walifukuzwa kwa hila tu,lakini Mkurugenzi huyo aliwaagiza wanasheria wakate rufaa Mahakama kuu,Rufaa zimekatwa ila kitu cha kufurahisha Kesi zote zilizotolewa maamuzi na Mahakama kuu zimewataka Sigara kuwarudisha kazini wafanyakazi wote na kuwalipa mishahara pamoja na marupurupu yao yote tangu walipofukuzwa kwa kounewa.
Kesi iliyotolewa maamuzi jana ni ISSA NZILAIWE nayeye Mahakama imeamuru arudishwe kazini,miezi miwili iliyopita wale washinyanga nawenyewe Mahakama iliamuru warudishwe kazizi,mwezi mmoja uliopita Mahakama ilamuru mfanyakazi mwingine aitwaye AGGREY GOMBANILA arudishwe kazini.
Hii ni aibu kwa kitengo cha sheria cha kampuni na ni aibu kubwa kwa mkurugenzi ambaye hadi sasa hizi ameisha isababishia hasara kubwa Kampuni kuendesha kesi zisizokuwa na tija pamoja na kulipwa watu bila kuifanyia kazi Kampuni.
Mie nilinunua hisa katika kampuni hii za shilingi milioni tatu,nimfanyakazi bado katika kampuni hii kwahiyo kitendo cha kutumia pesa zetu wana hisa bila tija yoyote nikitu ambacho hakikubaliki kabisa.
Wataalam wa sheria tusaidie tufanyenye wanahisa kudhibiti utumiaji holela wa pesa zetu?

Hoja yako ina maswali mengi. Fukuza/punguza ikifikishwa mahakama ya kazi. Sheria zinaangaliwa kuhusu hoja za pande zote. ( Kama hakuna rushwa ) kila upande hupimwa kisheria.

Hoja yako ina maswali mengi. Fukuza/punguza ikifikishwa mahakama ya kazi. Sheria zinaangaliwa kuhusu hoja za pande zote. ( Kama hakuna rushwa ) kila upande hupimwa kisheria.
Tatizo sio mkurugenzi,Mameneja ndio vimeo kwani wanakaa ofisini kwenye viyoyozi na kuanza kuweka makundi ya kuwagawa wafanyakazi,ikitokea haupo upande wa b/m atakulima barua we hata thelasini ili mradi spate sababu za kufanyika hearing hatimaye anapendekeza ufukuzwe kazi. Sasa kwa kuwa hao mameneja wengi nadhani hawazisomi sheria za Nazi,akitoka hapo anabaki kushangilia na kupachika mtu anayemtaka.Sasa ikienda kesi mahakamani ndo vimeo vinaanza.Hivo wanapofanya uteuzi wa mameneja wawape tuition jinsi ya kuishi na wafanyakazi wao.Hivo Hutu mkurugenzi anapelekewa tu malalamiko nae anafoward kwa wanasheria,ikifika huko wanakaa kusikiliza,shida ni kwamba hao mameneja ndo wanakuwa wenyeji wao Hivo badala ya kufuata sheria inasemaje hao wanasheria wanakaa wanabofya simu bila kutia neno wala kusikiliza mwisho wa simu ,CMA, mahakama kuu wanawaona hawa wanasheria vipi?He utaratibu ulifuatwa?je Hutu mfanyakazi amefanya na mameneja wangapi?je Hutu meneja ni sahihi anachosema?nk.Sasa mahakama ikienda kwenye gn 6/2004,lo mchemsho 'A'-Z kwa

Mbaya zaidi hao wanasheria wao,wakiwa njiani pamoja na madereva wanaanza kujitapa watavyomtupa mtu nje,Hivo kinachofuata nae ni binadamu anatoa information kwa muhusika kinachofuata,muhusika anajua tayari kwamba hapa Nazi hamna mfano ni Mimi mwenyewe niliwakilishwa na mkulima kwenye hearing yangu,nikagundua kweli hawa wamekuja kutimiza wajibu wa kunifukuza .Hivo mkulima na mambo ya kazi wapi na wapi hiyo!!!?Mkurugenzi huyu mnamuonea bure,Yeye sio kitengo cha sheria jamani.

Back
Top Bottom