M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Aug 31, 2024 #1 Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
Grim Langdon JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 774 Reaction score 2,262 Aug 31, 2024 #2 Mtambachuo said: Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Mimi napenda wale ambao ni Sigma wenzangu tujadili hapa. Click to expand... Sigma wakoje kiongozi¿¿¿
Mtambachuo said: Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Mimi napenda wale ambao ni Sigma wenzangu tujadili hapa. Click to expand... Sigma wakoje kiongozi¿¿¿
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Aug 31, 2024 Thread starter #3 Grim Langdon said: Sigma wakoje kiongozi¿¿¿ Click to expand... Sigma ni watu wasiotabirika, wa kimya, wasiri na wasiopenda sifa, Pia wanapenda haki, hawapendi kuona mtu anaonewa. Lonely wolf, who don't live on society expectations Don't need social approval or validation
Grim Langdon said: Sigma wakoje kiongozi¿¿¿ Click to expand... Sigma ni watu wasiotabirika, wa kimya, wasiri na wasiopenda sifa, Pia wanapenda haki, hawapendi kuona mtu anaonewa. Lonely wolf, who don't live on society expectations Don't need social approval or validation