Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.

Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:

Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone

Nawapenda wanajf wote!!!
 
FURAHIA MWISHO, USIFURAHIE MWANZO
Hata hiyo nzuri. Ujumbe maridhawa.
 
baadhi ya hizo signature ni dedication kwa watu fulani, na huwa zinabeba ujumbe mzito either kwa wapenzi, na X wako kuliko hata zile naked text, sema wachache sana ndo hunga'amua, baadhi ya jumbe hizo mtu amekata tamaa anajifariji....
 
Kwa mara ya kwanza nami nimemsuuza mchuchu kumoyo. Leo lazima nikaogee magadi...
 
Sema hakyamama... na hao wapenzi wao wanakuwa wanaJF pia?
yap zipo tena humu full comfidence hata unaweza kumtaja huyo mtu kwenye signature, hizi signature kama status za kule what sap, mtu uko bored au uko broken utatupia kule ili X wako aione

au umependa gal flani ambaye katupia mawani meusi... utatupia kumsifia au kuomba date
 
baadhi ya hizo signature ni dedication kwa watu fulani, na huwa zinabeba ujumbe mzito either kwa wapenzi, na X wako kuliko hata zile naked text, sema wachache sana ndo hunga'amua, baadhi ya jumbe hizo mtu amekata tamaa anajifariji....
Hivyo eeeeeeeeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom