hahahaha, kakatili sana hebu ona jamaniHuyo dogo akikua inabidi apelekwe kitengo maalum cha ulinzi wa nchi au Kiongozi wa nchi😛😛😛
Ukiitafakari kwa undani hasa ni kweli tupu Mkuu.Mkuu huwa inanipa tafakarishi sana hiyo signature yako🙂🙂🙂
Kanaonesha ushupavu kakiwa bado kadogo, hafu in smiling face😀😀hahahaha, kakatili sana hebu ona jamani
View attachment 894568
TakbirUkiitafakari kwa undani hasa ni kweli tupu Mkuu.
"Kila penye uzito na wepesi upo"
View attachment 894569
😀😀😀😀Kanaonesha ushupavu kakiwa bado kadogo, hafu in smiling face😀😀
Kazi ziko poa twaenda nazo tu kidogo kidogo.Alhamdulillah wote wako salama namshukuru manani kwa hilo.
Vip kazi zako zikoo poaa
NaaaaamUkiitafakari kwa undani hasa ni kweli tupu Mkuu.
"Kila penye uzito na wepesi upo"
View attachment 894569
Allahu Akbar.Takbir
hahahahah, nalijua jamani, sisi wote ni wa Allah!!! Hizi dini ni utaratibu wa kutufikisha mbinguni, ila kwa kifupi wote tunamtafuta Mungu mmoja.Allahu Akbar.
Ila Dada hata sikutegemea kama unalijua hili neno. 😂😂😂😂.
Haya bana Dada.
hata kwangu hivyo hivyoKazi ziko poa twaenda nazo tu kidogo kidogo.
ha ha ha ha haaaaaaahahahahah, nalijua jamani, sisi wote ni wa Allah!!! Hizi dini ni utaratibu wa kutufikisha mbinguni, ila kwa kifupi wote tunamtafuta Mungu mmoja.
Kwahiyo hapo shimo la panya ni wewe au ni ex wakoSema hakyamama... na hao wapenzi wao wanakuwa wanaJF pia?
MhYangu .... Atakayepatia maana yake
He or she ni hilarious genius na ukipatia ... Sitokuficha kwamba dooh ... You are realy amazing
Nakusikiliza
Nadhani mimi ndo panya mwenyewe sasa.... ex ndo mkate unaotaka kuziba shimoKwahiyo hapo shimo la panya ni wewe au ni ex wako
Kweli kabisa usemalo Dada.hahahahah, nalijua jamani, sisi wote ni wa Allah!!! Hizi dini ni utaratibu wa kutufikisha mbinguni, ila kwa kifupi wote tunamtafuta Mungu mmoja.
Hahaaa. Natumai muda ushasogea sasa huko uliko unapambana na milio ya ndege mwitu.hata kwangu hivyo hivyo
nachek mda wenyewe hausogeei nirudi zangu kijijini nikasikie milio ya ndege mwitu, hapa mjini Mogorofa yananingua tu