Zimeshafika salam, pia nawe wasalimiwa na hawa wananizungukaHuku Alhamdulillah. Amiin Insha Allah na kwako pia. Wasalimie huko
Mkuu habari za Asubuhi?Zimeshafika salam, pia nawe wasalimiwa na hawa wananizunguka
Duuh! Ndio blue Monday nini hiyo Mkuu maana si kwa kilichotokea hapo juu. HahahahaaaaMkuu habari za Asubuhi?
kwema huk kwako? kazi njema Mkuu
Kama kawa siku ya deadline
ha ha ha ha hahaaaaaaaaaaaaaaaDuuh! Ndio blue Monday nini hiyo Mkuu maana si kwa kilichotokea hapo juu. Hahahahaaaa
ha ha ha ha hahaaaaaaaaaaaaaaa
nakwambia we acha tu kuna siku nyingine unakuwa mtu huna mood ya kufany kazi
ha ha haaaaaaaaaaHahahaaaa. Pole sana. Maana si kwa kujiquote kule.
Kazi zinakwenda Poa kabisa Mkuu. Yah. Mida hii.ha ha haaaaaaaaaa
vip lakini kazi ziko poaaa? Time for salaa