Signature zingine Burudani kwei kwei

Signature zingine Burudani kwei kwei

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,000
Kakobe = A very small tortoise
Kibonde= A very small valley


Kwa hisani ya Safari_ni_Safar
 
Boss:"Some people continue to live because it is illegal to shoot them" Lakini Boss keshaiondoa hii signature siku nyingi.Ilikuwa inanipaga raha sana
 
Mimi niliipenda ile moja iliyokua inasema!
MAKALIO YA SUFURIA HAYAOGOPI MOTO!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Watu humu wana signature ambazo ni washawasha, ipi inakugusa zaidi? yangu? ya flani? HEBU MWAGIKA.
 
sisemi mpk inivisibo aweke siginecha yake
 
Wakuu naomba tujulishane signature za wanajamii forum tunazozipenda . Naamini huwa zina mafunfundisho ndani yake,ila sio rahisi kuzisoma zote kutokana na utofauti wa majukwaa .
 
"kila mtu anapesa ila tumetofautiana viwango vya pesa" imenigusa sana hii
 
Back
Top Bottom