vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,749 Reaction score 1,000 Mar 12, 2012 #1 Kakobe = A very small tortoise Kibonde= A very small valley Kwa hisani ya Safari_ni_Safar
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Mar 12, 2012 #2 Boss:"Some people continue to live because it is illegal to shoot them" Lakini Boss keshaiondoa hii signature siku nyingi.Ilikuwa inanipaga raha sana
Boss:"Some people continue to live because it is illegal to shoot them" Lakini Boss keshaiondoa hii signature siku nyingi.Ilikuwa inanipaga raha sana
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,299 Mar 12, 2012 #3 Mimi niliipenda ile moja iliyokua inasema! MAKALIO YA SUFURIA HAYAOGOPI MOTO!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,534 Reaction score 11,449 Mar 12, 2012 #4 Usisahau ya ma HB
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Jan 10, 2016 #5 Watu humu wana signature ambazo ni washawasha, ipi inakugusa zaidi? yangu? ya flani? HEBU MWAGIKA.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jan 10, 2016 #6 kwani zina mikono???
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,074 Reaction score 3,743 Jan 10, 2016 #7 YA KWANGU....
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jan 10, 2016 #8 yangu moto
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jan 11, 2016 #9 Yangu umeisoma....?
KAFA.cOm JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 1,301 Reaction score 739 Jan 11, 2016 #10 Savimbi Jr
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jan 11, 2016 #11 sisemi mpk inivisibo aweke siginecha yake
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 292 Reaction score 449 Jul 6, 2016 #12 Wakuu naomba tujulishane signature za wanajamii forum tunazozipenda . Naamini huwa zina mafunfundisho ndani yake,ila sio rahisi kuzisoma zote kutokana na utofauti wa majukwaa .
Wakuu naomba tujulishane signature za wanajamii forum tunazozipenda . Naamini huwa zina mafunfundisho ndani yake,ila sio rahisi kuzisoma zote kutokana na utofauti wa majukwaa .
Me too JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,388 Reaction score 9,333 Jul 6, 2016 #13 "kila mtu anapesa ila tumetofautiana viwango vya pesa" imenigusa sana hii