PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Wadau wa mambo ya sheria naomba mnifahamishe kuhusu signature (sahihi) ya mtu binafsi kama inawezekana kuibadili wakati wowote mhusika anapoitaji, mfano mtu akitumia aina flani ya signature tangu anasoma sekondari mpaka chuo, baada ya kuanza kazi akaamua kutumia signature nyingine, je kuna kosa lolote kisheria? na kama ni kosa, je kuna utaratibu wowote kisheria kuweza kubadili?