sihitaji kuolewa je ni tatizo?

Status
Not open for further replies.
Sasa utazaa na nani? Manake vijana wanataka kuoa. Kama ni mume wa mtu hakikisha unabaka mwenye possibility ya kukuoa japo mke wa 7 manake siku hizi wamama wakali hawasusi ndoa wala nini! Ndio nyie unazaa na mume wa mtu afu unamsaka mkewe unamuelezea!
Una tatizo wewe aisee, ongea na wakubwa wako...
kwahiyo kama sina ndoa na kizazi pia sina? Kuzaa dumuhimu
 
dia unapenda sana uolewe na ndo maana umeleta hapa hii mada, punguza hasira za maumivu ya moyo, 30 yrs upo bado kwenye line, nakushauri upunguze heart break ideas...jione wa thaman
 
yote ni mipango ya mungu..kama hujapangiwa kuolewa hutaolewa..ka hujapangiwa kua na mtoto hutopata...ungeweza kua umeolewa saivi ukawa una matatizo unatamani ungekua hujaolewa...so vitu vingine wala usifikiri unavimiss maana hujui huko baadae umepangiwa nini na Mola
 
dia unapenda sana uolewe na ndo maana umeleta hapa hii mada, punguza hasira za maumivu ya moyo, 30 yrs upo bado kwenye line, nakushauri upunguze heart break ideas...jione wa thaman

Naungana na wewe ,dada Latifaa anapenda kuolewa lakini imetokea kuwa hajapata mtu wa kumuoa katika wakati aliokuwa nataka yeye na akafikia hatua ya kujiona kama ashakuwa mtu mzima sana.
pole dada hujakuwa mtu mzima kiasi hicho..usikate tamaa mapema kiasi hicho endelea kuomba, wakati wa MUNGU si wako utapata tu wakukuoa wala usijifungie milango ya baraka
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe sina mpango wa kuoa ila nataka mtoto so Ni-PM mama
 
mama kupanga ni kuchagua
Yupo aliyeandaliwa kwa ajili yako
usichoke katika kuomba mungu hachelewi wala hawawi
 
Mbona miaka 30 bado unalipa sana! Jichanganye dada acha kujifungia ndani na kuomba. Wapo wengi wanahitaji wanawake wa kuoa.
 
Kama una nia ya kupata mume jitahidi kuomba utapata lakini kujipa moyo nitazaa watoto si vizuri. Mama yangu mdogo alikuwa na mawazo kama yako kweli alipata mabinti wawili, wa kwanza amezaa na baba yangu ambaye ni shemejie anatumia jina la babu wa pili ana miaka 25 hatujui amezaa na nani ila anatumia jina la ukoo masawe huyu dada hamjui baba yake kuna wakati huwa anaumia sana kwa kutomjua baba yake akiuliza mama anasema si nimekusomesha shida yako nini wangapi wana baba hawajasomeshwa.
 

Amini nakwambia, kwa hiki ulichoandika, utaolewa na utabadili jina humu JF na hutotuambia!, tulia muda bado upo!
 
miaka 30 ni wakati mzuri wa kuolewa...upo matured zaidi na unaweza kuhimili mikikimikiki mingi
 
Mi nakushauri kama imeshindikana kuolewa basi jaribu kuoa...kuna wanaume wamejaa mitaa siku hizi wanasubiri kuolewa!!

Sent from my BlackBerry
 
"maneno yanaumba" hizo ni semi tuu za kuwaliwaza watu na kuwaonya na kuwafariji, toka nimejinenea kuolewa ni 10 zyrs sasa
 

Maneno yako yanaonyesha umekata tamaa na pia unawasilisha ujumbe jamvini kuwa milango iko wazi ila kwa staili ambayo inawashtua wengi. Kwangu naona we mwongo kwani itakuwaje hupendi wanaume halafu unataka kuzaa watoto 2. Je hao watoto unataka kuzaa na mnyama gani?. Mi kwangu wewe ni NATAKA SITAKI TU?

Na kama kweli hupendi mume basi unaye spiritua husband bila kujua ambaye ana resist wanaume wengine ndani yako.
 
nitazaa na boydfr wangu, nanimeshamueleza kama anapenda kuoa atafute mchumba aoe mimi anipe
watoto tuu asepe, sitamtenga na watoto wake ila kuishi nae ndio mwiko
 
hapo kwenye red king'ast, unamaanisha chief kiumbe au? kwikwikwi!
 
shindwa! Spiritual hsb? Sina madude hayo mie, nshakueleza nina bf, ila kuolewa sitaki kuzaa nae tuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…