Sihitaji kuwa Mkazi wa Mwanza tena la sivyo nitakufa na makachero

Macho yangu yanakana kuamini kama huyu ni yuleyule deo kisandu. Maana yule alikuwa mtemi na utemi hauna kustaafu wala kutumbuliwa.huyu mbona hana saini ya utemini?au akaunti imeshahakiwa?
 
Bro nenda hospital ukutane na washauri wazuri,utarudia hali yako.
 
Ni dalili za magonjwa ya akili. Unahisi kila mtu hakupendi. Kila wakati unaona watu wakizungumza juu yako. Pia unawaona watu wakikufuatafuata kila unapokwenda. Toka akiwa Mtemi na sasa ni Don bado wanamtafuta tu. Mwenzetu anahitaji msaada wala si maneno ya kumdhihaki. Lakini je, ni nani kati yetu awezae kumsaidia?
 
Ishia huko huko dar hatukai na watu wa ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…