Sihitaji mwaliko wa sikukuu wa online..

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Sihitaji mwaliko wa sikukuu wa online..
Haiwezekani mambo yote yawe online tu; kuchat online, kutuma ujumbe online, ku-fake maisha online, uchumba wa online, Mapenzi ya ki-online n.k. Hapana, mengine hayaitaji online.....yanaitaji kuonana uso kwa uso ili yafanyike. Mambo ya online wakati mwingine ni dalili ya uchoyo, ubahili, mizinga n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…