siilewi DIT kwenye guide book

siilewi DIT kwenye guide book

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
wanajf, kwenye guide book upande wa dit sijaona column ya 'possible loan amount' sasa sijaelewa ukipelekwa dit hupewi mkopo au?
 
Kama in program ya bachelor engineering unapewa loan usiogope. Soma hiyo prospectus vizur
 
unapata dogo....ile Priority inatumika hadi box la pili la A Levels
 
Nami naomba msaada,ina maana kwenye maeneo mengine ambayo loan priority ni non-priority hapo ukichaguliwa hamna mkopo?

Kama course ni non priority maana yake watapewa kwanza wenye priority courses kisha zikibaki utapewa na wewe.Sishauri kuchagua non priority courses unless kwenu mpo vizuri
 
unaweza ukaiweka non priority na ukapata ila tu uwe na dv nzur ila kama ni dv3 tena ya jion usithubutu kabsa mkopo utausikilizia kwenye media tu
 
Dah hapo kazi ipo,mi dogo kamaliza EGM,E-B,G-C,M-E (ni three ya 13) na nyumbani mambo sio mazuri na yeye anataka masomo ya accounts na kote naona ni non priority,msaada wenu wakubwa achague faculty gani ili aweze kusoma (yupo kambini Tabora),thanks.
 
course zipo nyingi sana zenye mkopo (priority courses) pale Ardhi kama land mgt, architecture ardhi au Mist pia education na engineerings za mazingira, interior design. Applied geologies na agricultural courses.Tembelea sana Guidebook ya TCU
 
Ubarikiwe..
 
Back
Top Bottom