unapata dogo....ile Priority inatumika hadi box la pili la A Levels
Nami naomba msaada,ina maana kwenye maeneo mengine ambayo loan priority ni non-priority hapo ukichaguliwa hamna mkopo?
unaweza ukaiweka non priority na ukapata ila tu uwe na dv nzur ila kama ni dv3 tena ya jion usithubutu kabsa mkopo utausikilizia kwenye media tu
Dah hapo kazi ipo,mi dogo kamaliza EGM,E-B,G-C,M-E (ni three ya 13) na nyumbani mambo sio mazuri na yeye anataka masomo ya accounts na kote naona ni non priority,msaada wenu wakubwa achague faculty gani ili aweze kusoma (yupo kambini Tabora),thanks.
course zipo nyingi sana zenye mkopo (priority courses) pale Ardhi kama land mgt, architecture ardhi au Mist pia education na engineerings za mazingira, interior design. Applied geologies na agricultural courses.Tembelea sana Guidebook ya TCU