Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

aliyefaidika sana na Forex trade ni Ontario tu na timu yake.. na faida kaipata kwenye training fees na commission ya broker wa forex.. hii ya commission ameipata indirect kwa akili nyingi sana hakuna mwanafunzi wake hata mmoja anaeweza kujua

Hahahha tz raha sana
 
Hahaha a pole mkuu inaonekana ulijitahidi kusoma lakini umechsha. Forex is not for everyone
Kujaribu kufanya kitu unachoamini maishani ni jambo zuri, lakini kinyume chake ujinga
 
Endelea kusubiri hiyo amsha amsha ambayo na uhakika hutaiona. Jinsi hii business inavyotakiwa usome na kutumia akili, huo mda wa kukupostia wewe uamini nautoa wapi??
Halafu hamna aliesema kwenye forex kuna utajiri wa haraka so keep waiting bra.
Hahaha
 
Mkuu fanya unaloweza...au umbea ndo kitu pekee unachoweza zaidi hapa Duniani?,
Labda kwa kukusaidia ni kwamba hata daraani kuna wanaofaulu na kushindwa,ndivo ilivyo kwa Forex.
Halafu unaonekana unafurahia sana kushindwa kwa watu...hizo ndo roho zikomaa unashangaa mtu kawa mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…