Siipati website ya NECTA

Siipati website ya NECTA

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
ni kama nusu saa sasa naahangaika kuifungua hii website na haifunguki.
shida yangu ni kuwa nahitaji kupata ufafanuzi wa "cut off points form V selection 2014"

mfano HGL 13:31:3:6 hii ni kwa "female"
halafu 12:27:7:8. kwa "males"

msaada tafadhali
 
Ingia kwenye blog moja inaitwa Maktaba ya tetea utayapata
 
Ingia kwenye blog moja inaitwa Maktaba ya tetea utayapata

Ahsante mkuu lakini sijapata isue ninayo iulizia... hata kule NECTA. hakuna maelezo ya cutt off point...
 
Back
Top Bottom