ni kama nusu saa sasa naahangaika kuifungua hii website na haifunguki.
shida yangu ni kuwa nahitaji kupata ufafanuzi wa "cut off points form V selection 2014"
mfano HGL 13:31:3:6 hii ni kwa "female"
halafu 12:27:7:8. kwa "males"