BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Nadhani unamuongelea Ben Murunya!...huh!...(Plz NE, spit down)Wewe Blue Balaa wala usihangaike kuomba hutapata mana lile zee la KIKEREWE pale lina ROHO MBAYA SANA lazima liwape mafisadi wenzake hizo sites.
Lile zee ni baya saaaaaaaaaaaaaaaana hata waziri mwenyewe analiogopa. Sitaki kumsahihisha Mungu ila majitu kama haya ndiyo yanatakiwa YAFE yanakwamisha sana maendeleo
Nadhani unamuongelea Ben Murunya!...huh!...(Plz NE, spit down)
Nadhan nimeona jina lake ni moja kati ya waliteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Afrika Mashariki!...namtakia kila la heri.
Hizi ni katika deals kubwa kabisa ambako vigogo wa NCAA wanategemea kupata chao mapema, kutoka kwa bidders!
Otherwise Ncaa alitakiwa wasaidie ili eneo lile lionekane kuwa run na Locals kwa asilimia zote!