Sijabadili dini kwa ajili ya H Baba – Flora Mvungi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MWIGIZAJI wa filamu Flora Festo Mvungi ‘Khadija' amedai kuwa amebadili dini kutoka Ukristu na kuwa Muislamu kwa mapenzi yake mwenyewe kufuatia chimbuko la familia yake upande wa mama yake mzazi, hata ilipotokea kuwa kampata mchumba mwislamu ambaye ni H. Baba haikuwa tabu kwani kiasili amelelewa katika imani hiyo kwa Bibi yake.
.

Khadija akiwa na mumewe H. Baba siku ya harusi.




H. Baba akisaini cheti cha Ndoa mbele ya mkewe Flora Mvungi.



Flora akiwa katika pozi.

 
Kuna wakati mwingine,watu wengine huwezi kuwaelewa ni kwa nini walijiunga JF??was it a mission au walipendezwa na mijadala.....:majani7:.......
 
Hivi ya Mkeka haidumu ?

Teh teh kwi kwi kwi
kuna wengine wanasema mwezi Mtukufu
watu hutafuta wapishi wa futari halafu
baadaye ukiisha mpishi aendelee na zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…