Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
Nimesubiri kwa muda mrefu sana nikijua nitachaguliwa mpaka muda wa kuapply vyuo umepita, jana majina yametoka chaajabu jina langu halipo na ukizingatia nimekaa miaka ming sana nyumban ualimu ndo ilikuwa tegemeo kwangu,

Najiuliza why me?
 
Nimesubr kwa muda mrefu sana nikijua nitachaguliwa mpaka muda wa kuapply vyuo umepita,, jana majina yametoka chaajabu jina langu halipo na ukizingatia nimekaa miaka ming sana nyumban ualimu ndo ilikuwa tegemeo kwangu,, najiuliza why me?

una elimu gani? je ulijua utaratibu wa vyuo? weka wazi kilichokukwamisha ushauriwe
 
una elimu gani? je ulijua utaratibu wa vyuo? weka wazi kilichokukwamisha ushauriwe

nimehitimu 4m4 2010 nilipata dv 4 ya points 26,mwaka huu nikaomba ualimu ngazi ya chet majbu yametoka cjachaguliwa npo hoi sana,,cjui la kufanya
 
ualimu ngazi cheti majina yake bado sio unakurupuka kuanzisha uzi tu kwani yaliotoka yanasomekaje!? Yapo karibuni kutoka na miaka yote ulikua wapi sasa hv c ungekua umeajiriwa wewe unawajazia wenzio wingi tu 2010 up 2014 ! What fuc* u was waitin au life limekupiga mdogo wangu!?
 
godimpare . wale waliiomba masomo ya half combination yaaan (advance na ualimu) miaka mitatu kwa waliosoma sayansi kidato cha nne 2013 yameishatoka???????
 
Nyani hucheka mikia
 
Majina yametoka tayari na serikali imefuta ualimu ngazi ya cheti, badala yake wameanzisha diploma ya elimu ya msingi, na sifa uwe na divishen 3.
Kama huna huna kachunge mbuzi au kakimbizane na mgambo
 
Majina yametoka tayari na serikali imefuta ualimu ngazi ya cheti, badala yake wameanzisha diploma ya elimu ya msingi, na sifa uwe na divishen 3.
Kama huna huna kachunge mbuzi au kakimbizane na mgambo

acha uongo ww unataka kutuambia vyuo kama murutunguru, tarime, ndala, mandaka, kabanga na vingine vingi ambavyo havijaonekana kuchagua majina mwaka huu havichukui walim? hayo majina ni kwawalioomba stahahada ya juu na stashahada ya msingi acha kuwarusha roho watu ww
 
Majina yametoka tayari na serikali imefuta ualimu ngazi ya cheti, badala yake wameanzisha diploma ya elimu ya msingi, na sifa uwe na divishen 3.
Kama huna huna kachunge mbuzi au kakimbizane na mgambo

we ni mkuda kinoma
 
pole jarinu ujasiriamali au vyuo vya private.
 
Majina badi hayajatoka kuweni na subira na kufikia tarehe 6/10 ndo mtatakiwa kuripiti vyuoni..
Hii ni kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma in early childhood education.
Vyuo vingne vitachukua diploma ya ualimu wa msingi-michezo (physical educ.) Na vingne vitatoa diploma ya juu ya elimu ya msingi.
Lakini kwa asilimia kubwa vyuo vingi vitatoa hyo diploma in early childhood education.
Hii taarifa nmepewa na Mkuu wa chuo kimoja cha ualimu cha serikali ambacho nacho kitapokea hao vijana.
So relax ndugu na ujiandae tu kwenda chuo pale utakapochaguliwa..
 
nenda vyuo vya utumishi wa umma halafu ndo usome diploma ya ualimu!
 
kaka usijipe moyo hivyo vyuo vyote vimechukuwa stashahada ya elimu ya awali ingia necta angalia stashahada elimu ya awali vyuo vyote utaona vimebeba wanafunzi kuna demu1 amepata murutunguru na jamaa wa mwanza amepangwa tarime tc
 
Its truly, vyuo vingi tu vmechukua watu, kuna watu wabishi in nature yaani mtu ukimwambia hawezi kabisa kujiongeza aangalie kama ni kweli ye anang'ang'ania oooh chuo fulani akijachukua wakati utaratibu wa kuchukua umebadilishwa juu kwa juu badala ya diploma ya sekondari vitatoa diploma ya awali, ndugu zangu msiishi kwa kukariri tanzania ya jana c yaleo ndio maana hata katiba tunaona haifai aisee
 
Unajua sasa hivi wahitimu ni sababu ya kukosa huenda wanaanza kuchukua current kwanza then ww wa older 4 years sijui mpaka nafasi zikibaki
 
Usibishe tu, nasema kwa kuwa ninajua. Hovyo vyuo ulivyotaja vinachukua diploma ya elimu ya awali na hawatachukua elimi ya msingi. Angalia vizuri utaona elimi ya msingi wamechukua watu mia tisa na elimu y awali wamechukua elfu tisa. Na hiyo imetokana na lupatikana watu wachache wenye soga kwani mwisho divishen three tu. Hebu tembelea www.nacte.go.tz
Kama jina lajinawlakori ualimua
 
Karibu chuo kikuu St Joseph uxome Bachelor degree kwa miaka mitano tu na mkopo juu, upewe nn tena ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…