Sijachaguliwa ualimu, naomba ushauri

msambinungwa

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
97
Reaction score
13
Wakuu JF inaweza ikafufua matumaini yangu, baada yakukosa kuchaguliwa ualimu. Hivyo basi naomba mwongozo wenu.

(1)vyuo vyamifugo wameshaanza masomo? kwa vya selikali ada ni sh ngap?

(2)vyuo vyamali asili vinaitajisifa zipi? na adazao ni sh ngp?
kwamnaofahamu njooni.
 

kaangalie jina kwenye tovuti ya police kuna majina ya form four na six walioitwa interview mwezi huu
kama jina lipo nenda usaili kwa RPC wako
www.policeforce.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…