Upo sahihi..kwanini wabongo hatupendi kuambiwa ukweli..Daimondo anenunua nyumba sauzi kwa zaidi ya mil 300...sasa nambie kwa huo mshahara anapaswa afanye kazi miaka mingapi ili aweze kuipata hyo ela?Hakuna kitu kibaya kama dhihaka, maana hakuna aijuae kesho yake
Kwani mleta mada alizungumzia kwamba anataka kununua nyumba bondeni?Upo sahihi..kwanini wabongo hatupendi kuambiwa ukweli..Daimondo anenunua nyumba sauzi kwa zaidi ya mil 300...sasa nambie kwa huo mshahara anapaswa afanye kazi miaka mingapi ili aweze kuipata hyo ela?
na pengine mtu kama huyo hata ajira hana, anaishia kugongea jero za vocha kwa masela na hapa anajifanya kunanga mshahara wa mwenzie.Mleta uzi ameuliza kitu kingine kabisaaaa.... alafu wewe unakuja kumlazimisha na kile unacho kiwaza wewe...[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sasa kama wana masemi kwanini wanaendelea kutesekea mshahara wa laki moja?Acha ujinga.
Kuna washikaji Mwadui wanamshahara wa laki lakini wana majumba na masemi. Kalaghabao kweli wewe.
Upo sahihi..kwanini wabongo hatupendi kuambiwa ukweli..Daimondo anenunua nyumba sauzi kwa zaidi ya mil 300...sasa nambie kwa huo mshahara anapaswa afanye kazi miaka mingapi ili aweze kuipata hyo ela?
Mkuu iwas just trying to think loudly..sory kama nme muoffend mtuHili jibu lina mantiki gani na swali alilouliza mtoa mada? Dhihaka nyingine hata maana hazina. Wewe nyumba yako kama ya Diamond iko wapi?
Upo darasa la ngapi? Sasa bila kuwepo kwenye ajira ya laki moja, wangepataje masemi?Sasa kama wana masemi kwanini wanaendelea kutesekea mshahara wa laki moja?
Iwas just trying to think loudly sory if nmemuoffend mtu...Kwani mleta mada alizungumzia kwamba anataka kununua nyumba bondeni?
Hapo umeona ametaja jina la Diamond?
Ebu usipende kuonyesha ujinga wako kwenye hadhara, na hii ni dalili ya utoto na kuto kukomaa kiakili.
Mleta uzi ameuliza kitu kingine kabisaaaa.... alafu wewe unakuja kumlazimisha na kile unacho kiwaza wewe...[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hizo story za vijiweni..ni mgodi gani huo ambao unawatu wenye mshahara wa laki moja but wanamiliki masemiUpo darasa la ngapi? Sasa bila kuwepo kwenye ajira ya laki moja, wangepataje masemi?
Kwa iyo unadhani wale wanaotumbuliwa wanategemea mishahara kujenga majumba, au ajira yao kujenga majumba na kununua masemi?Hizo story za vijiweni..ni mgodi gani huo ambao unawatu wenye mshahara wa laki moja but wanamiliki masemi
Hizo story za vijiweni..ni mgodi gani huo ambao unawatu wenye mshahara wa laki moja but wanamiliki masemi
Ok..Hahaaa tembea uone, si kila uonacho ndivyo kilivyo. Mfano tuu Mishahara ya wabunge au mawaziri unaijua? Ila malupulupu yao yanafanana na mshahara? Unafikiri wanaendaga kufuata mshahara? Baada ya miaka mitano wakivunja bunge hupewa kiinua mgongo cha kiasi gani? let say Milioni 250++, je mfanya kazi gani anapata hicho kwa miaka mitano? So hata huko migodini nasikiaga wanapata malupulupu, mfano Arusha mji umejengwa na wanaoitwa wanaapollo, inasemekana wanaweza sota muda mrefu bila kitu ni ugali na dagaa tu, mara anapata jiwe la milioni Zaidi ya 500++. So life kila mtu anaformula yake anajua anatokaje
You haven't thought anything substantial, you are an idiot. Mtoa mada hajauliza habari za nyumba popote iwe mjini, kijijini au SA . Sasa wewe umeitoa wapi issue ya diamond ? Kama ungesema Mimi nimenunua au kujenga....alafu ukalinganisha...japo Bado ungekuwa off topic lakini angalau. Sasa diamond ni nani kwako ? bwana hako au Nani wako? Unadhani diamond ndio wa kwanza kununua nyumba nje ya nchi? (Kama kweli kanunua). Au diamond ndio Tajiri kuliko watu wote tz?Mkuu iwas just trying to think loudly..sory kama nme muoffend mtu
Povu la nini mkuu..au ndo timu Kiba?You haven't thought anything substantial, you are an idiot. Mtoa mada hajauliza habari za nyumba popote iwe mjini, kijijini au SA . Sasa wewe umeitoa wapi issue ya diamond ? Kama ungesema Mimi nimenunua au kujenga....alafu ukalinganisha...japo Bado ungekuwa off topic lakini angalau. Sasa diamond ni nani kwako ? bwana hako au Nani wako? Unadhani diamond ndio wa kwanza kununua nyumba nje ya nchi? (Kama kweli kanunua). Au diamond ndio Tajiri kuliko watu wote tz?
Hayo mambo ya timu ni ya watu wa caliber yako. Wanaofata mikumbo , wasio Na kazi ya kufanya na mda wao wa ziada, Na malimbukeni wa Mitandao! Kama una akili timamu umeelewa !Povu la nini mkuu..au ndo timu Kiba?