Sijaelewa chochote

Princ

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
280
Reaction score
90
Nikiwa shule ya msingi ilikuwa mwalimu akiingia darasani namuona kama anakuja kucheza mpira nakumbuka miaka ya 2006 enzi za akina morison. Asa siku moja nikiwa bado sijaamka kengele ikagongwa ile kuwahi namba tu daaaaah.....ad leo najuta

Kumbe kuna mtu alikuwa anapiga chabo.....iliniumaje.... Sema sijamuona kunajamaa alinitext kuwa....oyaaa cheki mvua inakaribia kunyesha. Nilipotoka nje kumbe ilikuwa bado usiku daaah....nika anua nguo zangu na kwenda kulala.

Sema sitasahau kabisa ile siku.

NB:
Kichwa chepesi tu ndo utaelewa "2100 akili"
 
Bangi
 
21:00 saa tatu kuna nini..?
Lini..?
Wapi..?
Nini kitafanyika..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…