Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Hii sio account yake halisi! Imewekwa purposely kuchekesha!!Huyu pro mshamba Sana, akina Trump wenyewe wanaandika wanaeleweka sasa yeye anjimbwambafy sana nakujiona yeye ndio mjuvi wa lugha.
Habari ya Madhare..Mbona kwenye kurasa yake hakuna kitu kama hiki chenye umeweka hapa?
Kama kweli hajalishwa maneno, bas jamaa anajifanya sana aiseeHamjamboni.
Went uelewa watusaidie TAFSIRI ya maneno hayo!