MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Leo nilikua natazama shughuli za bunge letu, ambapo spika wa Tanzania alialikwa kama mgeni muheshimiwa, na wakati wa hotuba yake akawa anapongeza bunge letu kwa jinsi huwa linapeperusha shughuli zake moja kwa moja kwenye runinga, na nijuavyo huwa naona Watanzania humu kwenye mitandao wakilalamika kwamba kwao huko hilo halipo.
Sijaelewa kwanini upongeze kuhusu kitu ambacho wewe kwako umekikataza.
Sijaelewa kwanini upongeze kuhusu kitu ambacho wewe kwako umekikataza.