Yaani mkubwa ukimwambia mambo ya democrasia anasema umetumwa na unatumika na mabepari hataki kusikia hilo neno, unaona mpaka sasa mkurugenzi wa tume ya haki za minadamu cjui kama alishateuliwa?Reasoning is very important. Ukiweza kufikiria mambo kwa undani na kuyadadavua vizuri wewe ni Genius. Ule ni ujumbe kwa mkuu wa nchi na kiuongozi mkuu wa CCM kwamba bunge live ni moja ya kuonesha ukomavu katika democrasia kwa sababu ni haki ya kikatiba kuweka mambo wazi bila uficho wowote ili wananchi wapate kuona na kupata taarifa ya mambo yanayoongelewa huko bungeni.
Ndiyo maana jamaa kaamua kutumia mafumbo kufikisha ujumbe wake mkuu.Yaani mkubwa ukimwambia mambo ya democrasia anasema umetumwa na unatumika na mabepari hataki kusikia hill neno, unaona mpaka mkurugenzi wa time ya haki za minadamu cjui kama alishateuliwa?