upi sasa?
Kongosho amekushauri.
preta hata wewe unamuona b.w.e.g.e! navuta picha km we ungekuwa ndio huyo housegirl! picha tu!
ni mtoto pekee wakiume katika familia yangu...dada zangu wameolewa...
juzi kati bimkubwa ameugua na akaenda kukaa kwa mmoja wa dada zangu,..
nimebaki mm na housegirl tuuuu niko karibu nae saaana!!!ila CJAGUSA...sasa ni mwezi wa nne!!
ndugu, jamaa, na marafiki wanasema ni lazima nitakua na mahusiano ya kimapenzi na dada wa ndani
so imekaaje hapo?nimalizie tu ili isemeke vizuri?na bimkubwa anataka kumfukuza kazi!!!
(ofcoz nilikua na mpango mkakati!!lols)