Sijajua kwanini Bunge halina kikundi cha ngoma za asili, kianzishwe haraka kiungane na wale wa football, Kwaya na netball!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ingependeza sana katika kuimarisha sanaa, utamaduni na michezo pale bungeni kikaanzishwa na kikundi cha ngoma za asili

Tayari kuna timu za mpira wa miguu mpira wa pete wavuta kamba na kikundi cha kwaya.

Nani ungependa wawemo katika kikundi cha ngoma za asili?

Ramadhan Kareem!
 
Nyie ndio tukiwakabidhi nchi mnasema wafungwa wanaomaliza muda wachukue nafasi za askari magereza wanaostaafu.
 
Kikundi cha nini kama wote wanademka vizuri tu, muhimu kule bungeni pawe na session ya kudemka, au kama bungeni watakuwa wengi sana wakose mpangilio basi wakademke kwenye zile kamati zao.
 
Kweli

Kaazikweli kweli...na wademkaji ni wengi aisee, hata jana niliona Mama alipochomekea kuwa ' awamu ni maneno tu' nikawaona Mwigulu,Dkt Mollel, Dkt Gwajima na Bashungwa wakishindana kusimama waonekane ukumbini...... kazi iendelee!
 
Hahahaaaa..... Mwigullu Nchemba na Dorothy Gwajima sura wanafanana sana na mdogo wao Mollel!
 
Ingependeza sana katika kuimarisha sanaa, utamaduni na michezo pale bungeni kikaanzishwa na kikundi cha ngoma za asili

Tayari kuna timu za mpira wa miguu mpira wa pete wavuta kamba na kikundi cha kwaya.

Nani ungependa wawemo katika kikundi cha ngoma za asili?

Ramadhan Kareem!
Daah yaani elimu yetu ndo inatufikisha hapa
 
Back
Top Bottom