johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
[emoji3][emoji3][emoji3]Musukuma
Byabato, Bashungwa, Mwijage, BashiruNdugai
Ha haaa staki kucheka jamani.Byabato, Bashungwa, Mwijage, Bashiru
Aaaah kumbe ile imeitwa "ngoma inapigwa mitandaoni inachezwa bungeni?"Ha haaa staki kucheka jamani.
Wangari Maathai njoo upange safu ya wacheza ngoma
Eeee wanademka balaaAaaah kumbe ile imeitwa "ngoma inapigwa mitandaoni inachezwa bungeni?"
Kaazikweli kweli...na wademkaji ni wengi aisee, hata jana niliona Mama alipochomekea kuwa ' awamu ni maneno tu' nikawaona Mwigulu,Dkt Mollel, Dkt Gwajima na Bashungwa wakishindana kusimama waonekane ukumbini...... kazi iendelee!Kikundi cha nini kama wote wanademka vizuri tu, muhimu kule bungeni pawe na session ya kudemka, au kama bungeni watakuwa wengi sana wakose mpangilio basi wakademke kwenye zile kamati zao.
Hahahaaaa..... Mwigullu Nchemba na Dorothy Gwajima sura wanafanana sana na mdogo wao Mollel!Kweli
Kaazikweli kweli...na wademkaji ni wengi aisee, hata jana niliona Mama alipochomekea kuwa ' awamu ni maneno tu' nikawaona Mwigulu,Dkt Mollel, Dkt Gwajima na Bashungwa wakishindana kusimama waonekane ukumbini...... kazi iendelee!
Utaimba?Ingependeza sana katika kuimarisha sanaa, utamaduni na michezo pale bungeni kikaanzishwa na kikundi cha ngoma za asili
Tayari kuna timu za mpira wa miguu mpira wa pete wavuta kamba na kikundi cha kwaya.
Nani ungependa wawemo katika kikundi cha ngoma za asili?
Ramadhan Kareem!
Daah yaani elimu yetu ndo inatufikisha hapaIngependeza sana katika kuimarisha sanaa, utamaduni na michezo pale bungeni kikaanzishwa na kikundi cha ngoma za asili
Tayari kuna timu za mpira wa miguu mpira wa pete wavuta kamba na kikundi cha kwaya.
Nani ungependa wawemo katika kikundi cha ngoma za asili?
Ramadhan Kareem!