Sijajua watu wanatumia vigezo gani kumdharau Giroud

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Kwangu huyu ni bonge la striker nguvu anazo mipira ya juu yupo safi sijaona kosa la kocha wa france kwa huyu jamaa hii ni faida kwa watu wafupi kama wakina greizman kufaidika na huduma yake.

Labda alipochemsha ni kwa mendy tu.
 
Kila kocha/mpenzi wa soka na vigezo vyake

Binafsi km ningekuwa kocha giroud asingepata nafasi sababu
1.si mfungaji hodari
2.si mmaliziaje mzuri
3. Kumiliki mpira kwake ni mtihani
4.dribbling tabu
5. Si mzuri timu ikiwa inashambuliwa
6. Si mzuri wa mipira ya chini.

N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…