Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.