Sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo.

Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile anakidonda ambacho bado nikipya kabisa, Nilijua ni watu walimvamia nakumpiga kiasi chakumuumiza hivyo.

Nilishundwa kuvumilia ndipo nikashuka na kuketi karibu yake, kwaufupi nilianza kutafuta mazoea nae na ilichukua mda inaonesha ni mwanamke mwenye msimamo sana kiasi kwamba nilivutiwa nae .

Siku moja nilimuomba kumpeleka hospitalini kwa matibabu ya vidonda na majeraha aliokua nayo na nilipofika Doctor alinipa majibu kua huyu mtu anamajeraha makubwa ndani ya mwili wake kama vile alikua kavamiwa na kundi la watu.;
Hakuna shida "nilimuambia; nachotaka ni kutibiwa na awe mzima kabisa ,

Baada ya mwezi mmoja kupita tulikua tumezoeana sana kiasi kwamba siku naweza kulala bila kusikia sauti yake.
Nilipomuuliza kuhusu familia hakinijibu ila aliniambia kua anamtoto mmoja na yupo kwao,
Sikuona tabu yoyote nilimueleza wazi kua nimevutiwa nae na ningependa awe mke wangu?

Alianza kulia😢😢😢 tu bila kunipa majibu, Nilijua wazi kua nimtu aliekwisha kutendwa na mwanaume hivyo yupo kwenye wakati mgumu.

kwakua sikua na mda wa kuendelea kukaa hapo mjini nilitakiwa kuhama nilimuomba tuhame wote na alikubali.

Ndipo mausiano yalipoanzia na nilimfungulia biashara kubwa maana alikua nimtu wa kujituma sana.

Leo ndio mke wangu nanimjazito hapa alipo.!!

Iweje uniambie kua nimekuchukulia mkeo kaka.???

Mkeo nimekuta akiwa na hali mbaya na kama ilikua ajira basi umeshaichezea kazi na mimi ndio bosi kwasasa, Naomba samahani na uondoke eneo hili kabla sijakuitia police.

KWAKO WEWE MSOMAJI WANGU JE UNAJUA VIWANGO VYA UZURI AU UREMBO ALIO NAO MKEO?

Huyo mkeo ulie nae yupo mtu anamtamani na akimpata anaweza kumbadilisha kwa jinsi anavyotaka yeye awe.

Je ? mkeo anapata nafasi kiasi gani kwenye maisha yako.

Je unamthamini mkeo kwa viwango gani?
FB_IMG_1676112813601.jpg
 
View attachment 2513598
Yaani umemuokota kwenye jalala la moyo wangu ila bado ni mke wangu.😀😀
 
Ndo mthaminiane basi sio mnaishi kama watumwa huko ndani
Kuna mambo mengi sana ....jitahidi dume uwe cash flow ....nzuri pia hukuongeazea confidence ....baada miaka 60...wanaume wengi huaga....unajua why ? Tafiti
 
Hebu ntonyee
 
Hebu ntonyee
Umiza kichwa kidogo majumba yacwastaafu yana wajane tupuu......fikiria sana utapata jibu tu ....check on piled up pressure stress....muda wake anasubiri hela ikate sikati bp miguu figo etc zianze kusumbua....plus michepuko watoto nje wana push for huduma .....jumlisha hivyo hela imekata!! Ongeza zako sasa
 
Back
Top Bottom